Hadith Thaqalain kwenye Quran

 

 

Tokea enzi ya Mtume (s.a.w) vilikuwa vikundi viwili, cha kwanza chenye kutaka kufuata Quran na Ahlel Bait na cha pili Quran tu.

 

Kikundi cha pili tokea enzi ya Mtume (s.a.w) walikuwa wakijaribu kufanya kila aina ya njama kutaka Ahlel Bait wasifike kwenye madaraka na kuonesha ukhasama na uadui na Ahlel Bait ndio maana tukaona wale wenye kuipinga hadith ya Thaqalain kwa hoja ambayo hadith nyengine mutawatir kama Thaqalain wanazifuata bila kuuliza chochote!

 

Kikundi cha mwanzo ni wafuasi wa Imam Ali (a.s) na cha pili ni wafuasi wa Abu Bakr na Omar. Kwa bahati mbaya kikundi cha pili kwa njama walizozifanya waliweza kuchukuwa utawala kwa mapinduzi waliyoandaa na kuwaweka Ahlel Bait pembeni na kufanya kila njia wasifike kwenye madaraka.

 

Inatosha kupitiya kwenye Bukhari kuona hivyo vikundi viwili. Wakati Mtume (s.a.w)  yuhai siku zake za mwisho katika hali yake ya ugonjwa aliomba karatasi na kalamu kuandika wasiya, kama watu wengine wanavyoandika wasiya wao, kwa umati wake. Lakini kwa sababu ya hicho kikundi cha pili chenye kuipinga kufuata Quran na Ahlel Bait wakamzuiya na kusemaKitabu cha Mwenyezi Mungu inatutosha - Habsbuna Kitab Allah”. Hapo tena wafuasi wa vikundi viwili wakaanaza kuzozana, hata imefika hadi ya kikundi cha pili kumwita Mtume (s.a.w) yakuwa anasema ovyo. Hapa kuna makosa mawili, la mwanzo tumekatazwa kamwe kumpinga Mtume (s.a.w) kwenye Quran vipi leo tena mwenye kumpiga atakuwa anafuata Quran na yapili kusema maneno ya dharau kwa Mtume (s.a.w), neno iliyotumiwa niHajarambalo sio neno nzuri.  Hayo tutayakuta kwenye Bukhari.

 

Volume 7, Book 70, Number 573:

     Narrated Ibn 'Abbas:

     When Allah's Apostle was on his death-bed and in the house there were some people among whom was 'Umar bin Al-Khattab, the Prophet said, "Come, let me write for you a statement after which you will not go astray." 'Umar said, "The Prophet is seriously ill and you have the Qur'an; so the Book of Allah is enough for us." The people present in the house differed and quarrelled. Some said "Go near so that the Prophet may write for you a statement after which you will not go astray," while the others said as Umar said. When they caused a hue and cry before the Prophet, Allah's Apostle said, "Go away!" Narrated 'Ubaidullah: Ibn 'Abbas used to say, "It was very unfortunate that Allah's Apostle was prevented from writing that statement for them because of their disagreement and noise."

More of the same type of Hadiths can be found in other places :

Volume 1, Book 3, Number 114:

Volume 9, Book 92, Number 468:

Volume 4, Book 52, Number 288:

Volume 4, Book 53, Number 393:

Volume 5, Book 59, Number 716:

Volume 5, Book 59, Number 717:

 

Baada ya kuweza kumzuiya Mtume (s.a.w) asiandike wasiya wake, wameweza kufanikiwa hata kuchukuwa utawala baada ya kufariki Mtume (s.a.w). Kikundi cha Ali (a.s) na wafuasi wake hawakupendekezewa kwa mambo hayo yaliyotokeya katika Uislam na wote walikusanyika katika nyumba ya Imam Ali (a.s). Hata kiongozi wa hicho kikundi cha pili amekiri yakuwa kikundi ya mwanzo hakuwafikiana nao kwa kitendo walichokifanya. Ingekuwa Ali (a.s) amekubaliyana nao kwa vitendo walivyofanya kwa kuchukuwa madaraka kwa nguvu, basi tungesikiya kwenye tarikh yakuwa ameshiriki katika vita kwenye enzi yao kama alivyoshiriki wakati wa Mtume (s.a.w) na wakati wa Ukhalifa wake.

 

Volume 8, Book 82, Number 817

     Narrated Ibn 'Abbas:

And no doubt after the death of the Prophet we were informed that the ANSAR DISAGREED WITH US and gathered in  the shed of Bani Sa'da. 'ALI AND ZUBAIR AND WHOEVER WAS WITH THEM, OPPOSED US, while the emigrants gathered with Abu Bakr.

 

Volume 5, Book 59, Number 546:

Narrated 'Aisha:

When she died, her husband 'Ali, buried her at night without informing Abu Bakr and he said the funeral prayer by himself. When Fatima was alive, the people used to respect 'Ali much, but after her death, 'Ali noticed a change in the people's attitude towards him. So Ali sought RECONCILIATION with Abu Bakr and gave him an oath of allegiance. 'Ali had not given the oath of allegiance during those months (i.e. the period between the Prophet's death and Fatima's death).

 

Hata bibi Aisha ambae alikuwa upande wa kikundi cha baba yake amekiri kuwepo kwa vikundi viwili na wakaonesha ukhasama na juu ya kikundi cha Imam Ali (a.s.) na wafuasi wake. Hebu tumsikilize Bukhari nini anatuambia, kisha wewe msomaji zingatiya..

 

Volume 5, Book 59, Number 727:

Volume 1, Book 11, Number 634:

Volume 7, Book 71, Number 612:

 

Volume 4, Book 51, Number 4:

     Narrated Al-Aswad:

     In the presence of 'Aisha some people mentioned that the Prophet had appointed 'Ali by will as his successor. 'Aisha said, "When did he appoint him by will? Verily when he died he was resting against my chest (or said: in my lap) and he asked for a wash-basin and then collapsed while in that state, and I could not even perceive that he had died, so when did he appoint him by will?"

 

 

Volume 5, Book 59, Number 736:

     Narrated Al-Aswad:

     It was mentioned in the presence of 'Aisha that the Prophet had appointed 'Ali as successor by will. Thereupon she said, "Who said so? I saw the Prophet, while I was supporting him against my chest. He asked for a tray, and then fell on one side and expired, and I did not feel it. So how (do the people say) he appointed 'Ali as his successor?"

 

 

Volume 1, Book 4, Number 197:

     Narrated 'Aisha:

     When the ailment of the Prophet became aggravated and his disease became severe, he asked his wives to permit him to be nursed (treated) in my house. So they gave him the permission. Then the Prophet came (to my house) with the support of two men, and his legs were dragging on the ground, between 'Abbas, and another man." 'Ubaid-Ullah (the sub narrator) said, "I informed 'Abdullah bin 'Abbas of what'Aisha said. Ibn 'Abbas said: 'Do you know who was the other man?' I replied in the negative. Ibn 'Abbas said, 'He was 'Ali (bin Abi Talib)." 'Aisha further said, "When the Prophet came to my house and his sickness became aggravated he ordered us to pour seven skins full of water on him, so that he might give some advice to the people. So he was seated in a Mikhdab (brass tub) belonging to Hafsa, the wife of the Prophet. Then, all of us started pouring water on him from the water skins till he beckoned to us to stop and that we have done (what he wanted us to do). After that he went out to the people."

More of the same type of Hadiths can be found in other places in Bukhari:

 

Baada yakujuwa hivyo vikundi viwili sasa tuje na hii hadith ya Thaqalain. 

 

"Mimi ninakuachieni vizito viwili ambavyo mkishikamana navyo hamtapotea

baada yangu, Quran na Ahlul Bait, viwili hivi havitaachana mpaka

vitakaponifikia katika Haudh."

 

Kila elimu ikiendeleya tunazidi kuona uzito wa hii Quran yetu tukufu. Mfano moja ni wa ile hesabu ya nambari 19. Nadhaniya nyote mumewahi kumsikiya jamaa wa Kimisri ajulikanae kwa jina la Dr. Rashad Khalifa aliyekuwa akiishi Tucson, Arizona huko Amerika. Yeye ameweza kugunduwa yakuwa Quran imepangika kwa hesabu na nambari maalum na nambari yenyew ni 19. Amechukua hii nambari kutoka kwenye Surah ya Muddathirir aya ya 30. Lakini kwa bahati mbaya baadae Shaitani amemghilibu na kujifanya yeye kuwa ndio Rasul. Kama hamkuwahi kusikia basi nitatoa mfano mdogo. Chukua mithali ya sura ya Baqarah utaona mwanzo inaanza na Alif Lam Mim. Yeye akahesabu Alif yote iliyomo kwenye hii surah kwa njia ya komputa na kupata jumla inaweza kugawika kwa nambari 19, hivo ameweza kupata jawabu hiyo hiyo ya Lam na Mim.

 

Basi kama tulivyoona yakuwa uzito wa mwanzo yaani Quran imepangika kwa nambari 19 basi bila shaka uzito wa pili yaani Ahlel Bait lazima itakuwa upo uhusiyano na hii nambari 19, kwa sababu maneno ya Mtume (s.a.w) yakuwa hivyo vitu viwili vimeshikamana na hata havitawachayana mpaka vitakapomfikia Mtume (s.a.w) katika Haudh. Tumeshaweza kujuwa uhusiyano nambari 19 na ya hii Quran lakini Ahlel Bait vipi?

 

Tukija kwa Ahlel Bait tutaona yakuwa hii nambari 19 inawakhusu sana wao kwa njia ya majina yao yalivyopangika. Bila shaka waislamu wote wanakubali yakuwa majina ya hao Ahlel Kisa yaani Ahlel Bait wamepewa na Mwenyezi Mungu. Hebu tuanze kuhesabu na kupata hiyo natija.

 

 

Muhammad -  MIM HA MIM DAL

4

ã Í ã Ï 

Ali - AIN LAM YA

3

Ú á í

Fatma  -FA ALIF TAH MIM TA

5

Ý Ç Ø ã É

Hassan - HA SIN NUN

3

Í Ó ä

Hussain - HA SIN YA NUN

4

Í Ó í ä

Jumla

19

 

 

 

Sasa hapa wazi kabisa yakuwa Quran na Ahlel Bait wameshikama na nambari 19 ni dalili ya kutosha ambayo Allah ametuwekea kututhibitisha kwa wale wenye kuwapinga Ahlel Bait na kuwatiya dowa, ikiwa watasikiya na kuufuata ukweli!

 

Majina yao siyo ya hewani yakuwa wamepewa tu bali haya majina ametaka Allah kwa mpango alivyoweka yeye mwenyewe. Katika majina yao sio nambari 19 bali tutapata siri ingine ikiwa tutachambuwa zaidi.

 

Tukiangaliya majina yao tutaona herefu iliyokuwa ikirejea mara kwa mara. Tukichukuwa herefu bila ya marejeo tutapata jawabu nyengine, hebu tutizame jawabu ya aina gani hiyo. 

 

ã Ï Í Ú á í Ý Ç Ø É Ó ä

12

MIM HA DAL AIN LAM YA FA ALIF TAH TAH(Marbuta) SIN NUN

12

 

Tumeshajuwa yakuwa nambari 19 inakwenda na mpango wa Quran, lakini nambari 12 ya nini?

 

Turejee kwa mtume Muhammad (s.a.w) kutafuta hiyo jawabu ya nambari 12.

 

Sunan Abu Dawud Book 36, Number 4266:

“The Prophet (peace_be_upon_him) said: THE RELIGION WILL CONTINUE TO BE ESTABLISHED TILL THERE ARE TWELVE CALIPHS OVER YOU, and the whole community will agree on each of them. I then heard from the Prophet (peace_be_upon_him) some remarks which I could not understand. I asked my father: What is he saying: He said: all of them will belong to Quraysh.”

 

Kutaka kuona zaidi ya hadith ya namna ya hiyo juu bonyenza hiyo kiungo hapa : Makhalifa Kumi na mbili

 

 

Tukiangaliya kwa makini tutaona mambo kama haya

 

1)Majina ya Ahlel Bait matano yanakwenda pamoja na mpango wa Quran kwa nambari 19. Inathibitisha yakuwa Ahlel Bait na Quran wameshikamana.

2) Ahlel Bait wameshikamana pamoja na Quran mpaka kwenye Haudh katika hadith Thaqalain

3) Majina ya Ahlel Bait watano yanakwenda pamoja na nambari 12 ambayo ni Makhalifa wa Mtume (s.a.w)

4) Islamu imeshikamana na makhalifa 12 ambao sawa kabisa kama Ahlel Bait na Quran.

 

Kwa ufupi Ahlel Bait ni wale Mtume Muhammad (s.a.w), Fatima (a.s) na Maimamu 12 ambae in Makhalifa wa mtume (s.a.w). Hao wote wameshikamana na Quran, madamu Quran na Uislam upo basi Ahlel Bait na wao wapo mpaka kwenye Haudh.

 

Usione ajabu yakuwa kwenye Quran herufu ya Imam imetajwa mara 12!

 

IMAM

1)15:79 (2) 36:12

 

IMAMA

3) 2:124 (4) 11:17 (5) 25:74 (6) 46:12

 

IMAMAHUM

7) 17:71

 

AIMAT

8) 9:12 (9) 21:73 (10) 28:5 (11) 28:41 (12) 32:24

 

Bila shaka wenyewe kuwapinga na kuwa na ukhasama na Ahlel Bait daima utakuta wapo mbioyoni kutaka kutiya dowa Ahlel Bait, hadith zozote zenye sifa zao kwa wao haina maana na yenye msingi.

 

Quran imetufundisha yakuwa muujiza na dalili zote walizozileta Mitume kwa wale waliyokuwa hawataki kuwafata ilikuwa haina thamani.