Mtume Muhammad (s.a.w) amesema kuhusu AhlelBait na Quran:"Quran na Ahlul Bait wangu, viwili hivi havitaachana mpaka vitakapokifia katika Haudh."
Bonyeza hapo chini kusoma kuhusu Ahlel Bait kwenye Quran na Hadith
Mtume Muhammad (s.a.w) amesema kuhusu AhlelBait "Mathali AhlelBayti kama Safinatu Nuh".
Bonyeza hapo chini kusoma maisha za Ahlel Bait.
